Natafuta kazi mimi kijana-Niko Mwanza

Natafuta kazi mimi kijana-Niko Mwanza

Calvinn

Member
Joined
Mar 5, 2020
Posts
18
Reaction score
10
Habari za mida hii wakuu

Mimi ni kijana wa umri miaka 25

Nimejitokeza kwenu kuomba nafasi yoyote ya kazi ambayo itaniwezesha kujikimu.

Sifa zangu:

Elimu yangu ni form 6
Nimehudhuria na kuhitimu mafunzo ya JKT OP kikwete 2015.

*Nina uelewa juu ya mambo ya computer.
-Microsoft Word
-Microsoft PowerPoint
-Kurekebisha computer katika upande wa software problems( Windows)

*Nina uelewa juu ya Afya kama Muuguzi.
Hivyo ninaweza kufanya kazi maeneo kama
-Hospital
-Dispensary
-Kituo cha afya

*Vile vile nipo tayari kufanya kazi katika sekta yoyote yenye kuhitaji mtu mwenye uwezo wa kuelekezwa kulingana na kazi husika.
-Stationery
-Kibanda cha CD
-Msaidizi Binafsi (Personal Assistant) katika mambo mbalimbali
-Ulinzi
-Mtu wa kuagiza katika Delivery Services za Maduka mbalimbali nipo tayari kuwa msambazaji wa bidhaa za duka lako.
-Hotel kama mhudumu
-Na nyinginezo

Ndugu zangu naomba kazi yoyote halali, hata kama uko nje ya mwanza nipo tayari...Na pia tafadhali kama kuna mtu unamfahamu anahitaji mfanyakazi naomba uniambie.

Simu namba 0621915752

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Never give up boss. All is well. Pambana ujue kuendesha chombo cha moto chochote kile itaongeza CV yako.
 
Wewe kama mdau, unadhani sababu hasa nini hata kupelekea kususiwa threads za rangi hii??

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa siku hizi ni sound tu hawana lolote. Ni wavivu, wezi. Unampa kijana kazi anataka apate fedha nyingi kukuzidi wewe mwenye biashara.
Unampa kijana kazi akuuzie bidhaa kwa mfano sh 25000, mteja anakuja yeye anamwambia elfu 50, mteja akikataa hiyo bei anamuacha. Vitu vinadoda. Nilienda kununua mtungi wa gas complete 15kg. Duka moja niliambiwa laki, lingine elfu 90, lingine 180000. Na huyo fala wa 180000 ni mfanyakazi tu. Naongea naye huku anachat hata hanisikilizi.

Upo sahihi 100%. Vijana wanaboa sana. Kuna siku nikiwa Mwanza natufuta Meza na kiti vile special kwaajili ya mtoto anayesoma nursery nikaenda duka fulani dogo akaniambia 165,000/= na ndio siku ya kwanza nauliza bei nilikuwa sijui. Nikamwambia nikija na 150,000 nitachukua? Akakubali. Nilikaa kama siku 3 nikawa nimepata pesa hiyo but nikasema ngoja nifanye kwanza window shopping nikaenda duka jingine nikakuta 120,000 nikaona kumbe inawezekana, nikaenda tena lingine nikakuta 100,000 ooh nikazidi kufarijika. Nilizunguka duka 2 nyingine hadi nikanunua kwa 65,000 just imagine.
Vijana wanataka mambo mazuri wakati wanaua biashara za watu.

Ndio mkuu sikatai waoo ambao sio waaminifu.
 
Vijana wa siku hizi ni sound tu hawana lolote. Ni wavivu, wezi. Unampa kijana kazi anataka apate fedha nyingi kukuzidi wewe mwenye biashara.
Unampa kijana kazi akuuzie bidhaa kwa mfano sh 25000, mteja anakuja yeye anamwambia elfu 50, mteja akikataa hiyo bei anamuacha. Vitu vinadoda. Nilienda kununua mtungi wa gas complete 15kg. Duka moja niliambiwa laki, lingine elfu 90, lingine 180000. Na huyo fala wa 180000 ni mfanyakazi tu. Naongea naye huku anachat hata hanisikilizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu sikatai

Wapo ambao sio waaminifu

Sio wote.
 
You spoke my mind....

Vijana Wengi wanataka watobolee humo wanapopewa nafasi...matokeo yake wanaharibu biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulifeli form six unataka kazi ili.... kalime
Sijafeli form six nimesoma mpaka chuo ila sijataka kutanguliza elimu yangu mbele maana kwa sasa hainiwezeshi kujikimu kwa chochote... Nimeamua kuangalia upande wa pili.
 
kama uko mwanza ni vyema

tangazo niliweka hapa nenda pale kamanga kampun ya gardaworld wanahitaji vijana kibao tu kuanzia tarehe tisa mwezi huu

vigezo ni elimu kuanzia form 4

added advantage umepita jkt so utakuwa parade kamanda pale

training ni wiki 1_ mitihani ipo kama kawaida na ukifeli unarudishwa

vijana wanapelekwa migodini, bandarini, ubalozini n.k ambako patakufungulia milango zaidi kwa baadae

urefu wanapima pia
kuanzia futi 5, inchi 7 ndio unachukuliwa.

nenda mkuu, mafunzo ni magum ila jikakamue
Habari za mida hii wakuu

Mimi ni kijana wa umri miaka 25

Nimejitokeza kwenu kuomba nafasi yoyote ya kazi ambayo itaniwezesha kujikimu.

Sifa zangu:

Elimu yangu ni form 6
Nimehudhuria na kuhitimu mafunzo ya JKT OP kikwete 2015.

*Nina uelewa juu ya mambo ya computer.
-Microsoft Word
-Microsoft PowerPoint
-Kurekebisha computer katika upande wa software problems( Windows)

*Nina uelewa juu ya Afya kama Muuguzi.
Hivyo ninaweza kufanya kazi maeneo kama
-Hospital
-Dispensary
-Kituo cha afya

*Vile vile nipo tayari kufanya kazi katika sekta yoyote yenye kuhitaji mtu mwenye uwezo wa kuelekezwa kulingana na kazi husika.
-Stationery
-Kibanda cha CD
-Msaidizi Binafsi (Personal Assistant) katika mambo mbalimbali
-Ulinzi
-Mtu wa kuagiza katika Delivery Services za Maduka mbalimbali nipo tayari kuwa msambazaji wa bidhaa za duka lako.
-Hotel kama mhudumu
-Na nyinginezo

Ndugu zangu naomba kazi yoyote halali, hata kama uko nje ya mwanza nipo tayari...Na pia tafadhali kama kuna mtu unamfahamu anahitaji mfanyakazi naomba uniambie.

Simu namba 0621915752

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama uko mwanza ni vyema

tangazo niliweka hapa nenda pale kamanga kampun ya gardaworld wanahitaji vijana kibao tu kuanzia tarehe tisa mwezi huu

vigezo ni elimu kuanzia form 4

added advantage umepita jkt so utakuwa parade kamanda pale

training ni wiki 1_ mitihani ipo kama kawaida na ukifeli unarudishwa

vijana wanapelekwa migodini, bandarini, ubalozini n.k ambako patakufungulia milango zaidi kwa baadae

urefu wanapima pia
kuanzia futi 5, inchi 7 ndio unachukuliwa.

nenda mkuu, mafunzo ni magum ila jikakamue

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nashukuru
 
Back
Top Bottom