Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,934
- 4,144
kwani sio kazi?Unajisifia kazi ya ulinzi zwazwa sna wewe![]()
kwani sio kazi?Unajisifia kazi ya ulinzi zwazwa sna wewe![]()
kwani sio kazi?
Hakika 100%Mkuu kumbe mambo ndivyo yalivyo?
Nyingne ninazo gheto zilizoandikwa vizuri vizuri.Hongera kwa kuchana barua zao za kazi mkuu
Alafu wale Vijana wanasubiri kuitwa ......Nyingne ninazo gheto zilizoandikwa vizuri vizuri.
Watasubiri sana mamaeeAlafu wale Vijana wanasubiri kuitwa ......
Imenifanya nichungulie Profile yako haya bhana unaendana na unachofanya.Watasubiri sana mamaee
Hajui watu wanasali kabla hawajaja huko maofisini...Mkaruka malipo yanakaribia.
Ni kweli hajui kwamba zile barua ni dhamana kubwa.Hajui watu wanasali kabla hawajaja huko maofisini...
Kama hawakusalimii wakati wanaleta barua ni vyema ukawakanya ama kuwachana then unapokea barua zao....
Acha roho mbaya mkuuInategemeana umekujaje.
Mimi ni mlinzi. Nimechana sana barua za waombaji wa kazi.
Ukijifanya mbongo mimi mwenyewe mbongo 100%



Samahani, unahitaji mtu mwenye vigezo gani.malipo ni laki moja ...je utayamudu
ukifanyacho, sio sawa.Watasubiri sana mamaee
Wewe fanya tambiko hata ukiwa uchi lakini ukileta udwanz unaisomaNi kweli hajui kwamba zile barua ni dhamana kubwa.
Unakuta mtu anafanyiwa matambiko na ukoo mzima ili apate kazi awasaidie ndugu zake halaf yeye anachukulia masihara.
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640Kama uko dodoma nenda nssf na maombi ya katibu muhtasi wametoa nafasi hio ya kazi.