Nitto95
Member
- May 2, 2019
- 6
- 3
Mimi Ni Binti wa miaka 23 natafuta kazi katika maofisi nifanye km secretary,receptionist au office attendant Nina experience kama office attendant miaka 4. Tafadhal mwenye connection naomba tusaidiane wapendwa hta sales pia nitafanya km itapatikana kwa mawasiliano yang plz naomba nipm asanten sana.

