habari ndugu na jamaa mimi ni mwanafunzi nimemaliza ifm mwaka 2013 degree ya banking na finance.kwa sasa natafuta kazi kwenye kàmpuni yoyote yenye kitengo cha finance inayolipa vizuri.najiamini kw3nye utendaji wangu wa kazi nikielekezwa nina uwezo mzuri wa kufanya kazi.