mimi ni mdada(ke)
Nuru usikonde. Usione wako kimya. Wanafanya mawasiliano. Soon watarudi kwako.
Kesho au mara nyingine ukiwa unaandika bango kama ili, andika taratibu, kisha jitahidi details zako zoote za muhimu unaziweka ili msomaji asipate kuuliza maswali.
Mfano:
-Jina sio muhimu.
-Jinsia na Umri (Kuna kazi unaweza mpa mtu ikawa as if child labour, kesi)
-Mahali ulipo.
-Elimu yako ya mwisho (Highest Level)
-Uzoefu wa kazi.
-Ujuzi mwingine kama computer knowledge, driving etc
Yaani unakua kama umeweka kaji-CV kako kidogo hapa.
Soon watakutafuta wakuu.
jibu swali usaidiwe kijana.
mdau amejitokeza kukupa msaada
we unao huo msaada?
Nina advance certificate ya fish processing,marketing and quality assurance.nina ujuzi wa computar pia.natafuta kazi yoyote kwa atakae ona ninamfaa plz.nina 24yrs,naishi Dar es salaam
Nuruh kuwa makini na wakware wasije wakatumia loop hole kukutumia kimwili,take care ukiona mtu haelewi msanukie tu!
Tafadhali naomba mnisaidie wana jf.Natafuta kazi/kibarua au kazi yoyote naweza fanya.nina ujuzi wa computer na elimu yangu imeishia advance certificate.mimi ni muaminifu na mchapa kazi.sichagui kazi coz nimechoka kukaa nyumbani.