Natafuta kazi/kibarua

Thanks! Ntashukuru ndugu.
mkuu ntakuunganisha na rafiki yangu mwenye fani yako muwe mnabadilishana mawazo na kupeana michongo. wewe ni mgeni dar so ntakupa mwenyeji wako. but ana familia yake!. mia
 
Thanks kwa encouragement. Ndo naandaa barua hapa,next wiki ntazisambaza mahotelin
Utapata tu kwa ushauri unaweza tembelea hotel za hapa mjini na kuulizia vacancy mkaa bure si sawa na mtembea bure THE GLORY OF GOD BE WITH YOU
 
Hao Wanaojifanya Kukuahidi Kazi..Hawana Lolote, Wanatafuta Maujiko Tu!
Tumewazoea!!
 
utapata tu, hao wanaokukatisha tamaa ni wale waliosomea fani za uhasibu, it na nyinginezo ambazo kwa sasa ni sokolessss!

utakuwa na matatizo wewe c bure. Kama wewe profession yako ni sokoless usidhan na wengine wako hivyo hivyo. Umefanyia wapi hiyo research?
 

I do wish wote humu JF wanekuwa kama huyu Ray05
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…