Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 1,135
- 1,793
Ndugu wadau habari za majukumu?mimi ni mdau wa jf kwa muda now,nilikuwa chuo sasa nimemaliza niko mtaani,kiufupi ni kwamba maisha ni magumu mno uku mtaani na nilikuwa natamani hata ningepata mtaji nifungue hata ka clinic lakini imeshindikana.hadi sasa nashindwa hata kujikimu peke yangu apa mjini,sasa ndugu wadau naomba mnisaidie ndugu yenu nipate japo pa kujishikiza Wakati nasubiri majaaliwa kutoka kwa uncle magu,kwaio Kama itakuwa ni wewe mdau una kazi au ndugu au rafiki Yako naomba niunganishe tafadhali au uliona au kusikia mahala fulani wanahitaji madaktari Naomba nisaidie tafadhali,naamini jf ni mahali penye watu wenye network kubwa na wadau wa afya wengi na hata ambao si wa kada hii lakini wanachannel,natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa kwenu wadau,na mungu awabariki kwa kadri mtakavyoguswa.karibuni na asanteni Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app