Natafuta kazi jamani

dont display your phone number public ukifanya hivyo itakukost. Nenda kwenye profile yako tafuta sehemu ya 'send message' hiyo ndio kuPM ndugu yangu. Hutapata kazi wewe fanya bidii kuomba tu sehemu mbalimbali
Thank you SIPO,kwa kunielewesha,nimeshawasiliana nae
 
Mdau inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana mdau na usikate tamaa kila wakati unapoona chance kwenye magazeti au sehemu yeyote ile wewe apply 2
 
Back
Top Bottom