Natafuta kazi jamani

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
mimi ni graduate from university na nimesomea mambo ya nutrition and hiv,lakini naweza fanya kazi yeyote ili mradi tu naweza kupata maelekezo (training) kwa muda,
wadau nisaidieni kwani nimekwama kabisa
 
nenda TBL pale mtafute Kavishe akupe kazi mwambie nimekwambia uende.sawa?
 
Vilevile unaweza kunitumia PM kama zitatoka post za nutrition katika makambi ya Tanzania naweza kukuunganishia.
 
Ndg pole ingekuwa IT au Bcom sawa hio kidogo itakuwa ngumu ila ngoja nijaribu kukuulizia.
 
nenda TBL pale mtafute Kavishe akupe kazi mwambie nimekwambia uende.sawa?

Yaani nimecheka, mpaka kila mru akawa ananishangaa ofisini. kazi zingekua zinapatikana kwa namna hii kama unamtuma mtoto dukani, kuna mtu angekua anahangaika kutafuta kazi kweli.

On a serious note.
Kazi hizo zinapatikana sana kwenye mashirika yanayo deal na wakimbizi, Unaweza kuanza kama volunteer, benefits nafikiri ni nzuri kuliko hii mishara ya Kibongo.

All the Best
 
Husikate tamaa ndugu, ebu tembelea Wanazuonigroup@yahoo.com na Varsitycollegetz.com kuna kazi nyingi zinatoka na pia wazo la volunteer ni la msingi pia pamoja na kuwa pia kuna ugumu wake kupata lakini kaza buti
 
Vilevile unaweza kunitumia PM kama zitatoka post za nutrition katika makambi ya Tanzania naweza kukuunganishia.
sijaelewa nita ku PM wapi may b nikupe namba then tuwasiliane au?
 
Ndg pole ingekuwa IT au Bcom sawa hio kidogo itakuwa ngumu ila ngoja nijaribu kukuulizia.
asante kaka nguli, bado nina matumaini sana,nitashukuru ukiniletea feedback
 
sijaelewa nita ku PM wapi may b nikupe namba then tuwasiliane au?
dont display your phone number public ukifanya hivyo itakukost. Nenda kwenye profile yako tafuta sehemu ya 'send message' hiyo ndio kuPM ndugu yangu. Hutapata kazi wewe fanya bidii kuomba tu sehemu mbalimbali
 
Vilevile unaweza kunitumia PM kama zitatoka post za nutrition katika makambi ya Tanzania naweza kukuunganishia.
Makambi ya Tanzania yaliyo mengi yanafungwa, mengine yameshafungwa. Kwa sasa uwezekano wa kupata nafasi za kazi katika mashirika yanayohudumia makambini ni mdogo sana, maana wafanyakazi waliopo wanapunguzwa. Nafasi ikitoka, wanafikiriwa wale ambao tayari wako kazini na wako hatarini kupunguzwa. Sikukatishi tamaa ila naeleza hali halisi. Labda kama hali itabadilika.
Mkuu Kunambi nakutakia kila la heri. Endelea kutafuta, iko siku utafanikiwa.
 
hakuna ugumu wowote! zali lake tu bado halija mtokea...mdau vumilia 'one day yes'

Ugumu ni kwangu sio kwa wote, nimeeleza ktk position yangu mimi ya kumsaidia kazi na si yako au ya mwingine. Unaweza kuta wewe ni nutritionist CEO/MD so ungekuwa kwenye chance ya kumpatia yeye kazi. Kwa vile mimi niko kwenye hizo fani 2 ndio maana nikasema hivyo.
Jaribu kuelewa kabla ya kubaka keyboard yako.
 
Vilevile unaweza kunitumia PM kama zitatoka post za nutrition katika makambi ya Tanzania naweza kukuunganishia.
nimeona private msg yako lakini nimeshindwa kuiosoma,sijui imekuaje anyway jaribu tena kaka
 
Back
Top Bottom