Natafuta kazi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi jamani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Anniem, Sep 24, 2009.

 1. A

  Anniem Member

  #1
  Sep 24, 2009
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta kazi kwa muda mrefu sasa ila sijapata.
  nimesomea IT
   
 2. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  angalia hapa http://www.muchs.ac.tz/ kuna job opportunities, labda data clerk itakufaa kwa kuanzia..
   
 3. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  IT ni eneo kubwa.. umesomea nini na unatafuta kazi sehemu ipi ya IT? Una Digrii, Diploma and Certificate? Toa maelezo zaidi ili tujue jinsi ya kukusaidia!!
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sawa kabisa don generalize thingz.
   
 5. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hata kama mimi ningekua naajiri, au natafuta mtu wa IT, wewe ningeshindwa kukusaidia - jinsi tu ulivyojieleza inaweza kuwa sababu ni kwa nini hupati kazi!

  Watu wengi tumesahau kuwa professional/career ni bidhaa, kama zilivyo bidhaa nyingine kama nyanya, sukari n.k - you need to market it and make people buy it!

  Sasa wewe umesema:
  Natafuta kazi kwa muda mrefu sasa ila sijapata.
  nimesomea IT
  - Sasa hapa wana JF watakusaidiaje? Learn how to market yourself.

  Pili, kama challenge. Hapa Tanzania IT bado ina nafasi kubwa sana, hasa kwenye soko la kujiajiri. Mimi pia nipo field hii - sijui qualification yako but mimi nilisoma BSc Computer Science hapa Mlimani.

  Sikuwahi kutafuta ajira wala kuandika CV - I just chose to be self employed. It's been two years, I work as a consultant for different projects and I earn several times more than my colleagues we went to school together.

  Kama kweli you can work independently and deliver something, halafu umeshindwa kupata kazi - try to employ yourself and work from home dude, it pays off!
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  du!!!
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umesomea Poland ? IT Engineering and Telecoms....maelezo yako hayatoshi, Ramthods amekueleza njia mbadala...jiajiri!
   
 8. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  No wonder that's why hupati ajira na hutakaa upate ajira kwa jinsi ulivyojimarket na kuendelea kubehave hivohivo (huedit post yako baada ya ushauri, hujibu maswali unayoulizwa japokuwa upo online) hapa.
   
 9. GP

  GP JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wacha nim-PM kwanza.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280

  saikosisi mbona unakatisha tamaa weye ,,mwenzio kakwambia IT sasa hiyo data Clerk ndo nini tena msaidie mpe vyanzo vya ajira ..maisha ni kusaidiana
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Mpe mikakati ya kujiajiri unaweza kuta hata capital ni kasheshe pia au mkaribishe kwenye ofisi yako work as a team
   
 12. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45

  Firstlady, capital sio kitu cha kwanza katika kujiajiri - cha kwanza ni WAZO.

  You need clear plans of what you are going to do, alafu ndio unaangalia upande wa capital. Ili ufanikiwe kwenye kujiajiri, inahitaji uwezo mzuri wa kufikiria na kufanya maamuzi - kitu ambacho kwa huyu mwenzangu nimeshaona doa.

  Watu wamemuuliza maswali mengi humu, hata wakati akiwa online bado - lakini amekaa kimya, hajajibu wala ku edit post yake - what picture can you draw out of this person?

  JF ni sehemu ya kuelimishana. Ni kweli wote hatuna uwezo sawa wa kufikiri, lakini uwezo wako hauta kua kama utaogopa kujibu hoja kwa kukaa kimya. Fanyia kazi mawazo ya watu, unapokosolewa chukulia kama ndio jinsi ya kujifunza. Ni bora uaibike hapa JF kuliko kuaibika kwenye interview.

  If he doesn't communicate, basi JF hatuwezi kumsaidia!
   
 13. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  kijana kweli anataka kazi au anatania? sasa hapa hatujuani anashindwa kujieleza, je akiitwa interview si itakuwa balaa
   
Loading...