Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu, nina bachelor degree of science in food science and technology, nimemaliza mwaka jana (2015). Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa sijafanikiwa kwa lolote lile yaani mtaani maisha ni magumu kupindukia inafikia wakati nalala na njaa kwa kukosa hela jamani. Naamini humu wapo watu wenye makampuni, viwanda naombeni jamani kwa atakaekua na kazi anisaidie, hivi sasa nipo tayari kufanya kazi yoyote iliyo halali ili mradi nipate kipato. Nipo Dar es salaam, napatikana muda wowote 0758 106 501