cabo peter
Member
- May 28, 2016
- 40
- 48
Nina stashahada ya ugavi(procurement&supply management), npo dar es salaam. natafuta kazi, kama una workshop yako unahitaji mtu wa kufanya mauzo, kupangilia kwa ajili ya kufanya usambazaji, au kufanya manunuzi nipo tayari tuzungumze. mimi ni muaminifu tena nina hofu ya mungu sio kidogo. 0712605935 au e-mail peternguma7@gmail.com