Natafuta kazi elimu yangu kidato cha nne

lyakurwaD

Member
Jan 10, 2017
50
39
Natanguliza shukrani zangu kwenu,

Mimi ni kijana wa miaka 23 jinsia yangu mvulana elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi kwa yeyote anaeweza kunisaidia tafadhali anisaidie nina uelewa wa kuuza duka la vyakula, nina uelewa na biashara ya madawa ya kilimo na mifugo.

Tafadhali msaada wa kazi nipo Dar es Salam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom