Natafuta kazi elimu ni first degree ya public administration in records and archives management

Umesoma course muhimu sana lakini bado inapuuzwa sana Tanzania. Nyie ni watu muhimu sana.
 
Kila la kheri mkuu...kumbuka tu kuwa barabara ya kuelekea kwenye mafanikio iko rough sana. Kwahiyo nakushauri upambane, uvumilie, ujiwekee malengo, ujifunze, ujitume na uwe muaminifu kwa watu. Usikate tamaa ndugu yangu...no matter what! Ila uwe makini kwenye hizi social media pia...usipoangalia unaweza kutapeliwa kwa ahadi ya kupewa kazi. Huku kumejaa watu wema na wabaya nao wapo tele.
 
UDAS au Ukurugenzi wa wilaya ungekufaa sana kutokana na Course yako uliosoma lakini hauna kadi ya chama tawala wala awakujui.
 
Nianze kwa kukupongeza kwa hicho kiwango chango cha elimu ila mimi nina ushauri kwako ambao ni plan B na mbadara wa ajila kwako.ndugu Maisha ya ajira za siku hizi ni changamoto kubwa sana maana graduate ni wengi na kasi ya kuajili unaiona ,mimi binafsi naamini ungeweza kuwa mbunifu na kuangalia ni nini ufanye hata biashara ili hiyo ajira itakukuta mbele ya safari ni hayo kwangu ndugu
Habari zenu jf. Ninaishi Dar es salaam
natafuta ajira nina first degree ya public administration in records and archives management kutoka chuo kikuu mzumbe nipo teyari kufanya kazi sehemu yoyote Tanzania, nataguliza shukrani zangu kwenu.
 
Cheki utumishi wamemwaga nafasi nyingi sana wanataka malecture wasaidizi wa records and archives management Wenye shahada za kwanza.
 
Back
Top Bottom