Jaribu kutafuta kazi kwenye mining hasa za acacia au Anglo gold (geita gold mine) hata wakikuchukua kama trainee kubali tu kwa sababu utajifunza dunia inavyoenda kwa maana ya e exposure na kujitengenezea mazingira ya kufanya kazi kimataifa.
Pia zitafute hizi kampuni SGS, SCHRUMBEGER nk na makampuni ya mafuta na gas yenye kuchimba na kufanya utafiti.
Ushauri wangu umezingatia kujifunza zaidi kwa miaka 2 -3, baada ya hapo mkuu utapiga hela mpaka utashangaa na pia utakuwa unaajirika kimataifa..