nyani jike
Senior Member
- Feb 23, 2016
- 176
- 223
- Thread starter
-
- #21
We hapo utaenda Training miez 3 kwanza ukasome Tally na Quick book kwanza
We hapo utaenda Training miez 3 kwanza ukasome Tally na Quick book kwanza
Wala crdb bankteller huihutaji kujua hizo programs ndugu.Ridhiki ya mbwa ipo miguuni mwake.mtanishangaa sana kutafuta kazi humu.haya maisha tu natafuta.
mshahara wa bankteller ni ngapi mkuuWala crdb bankteller huihutaji kujua hizo programs ndugu.
Labda ujue ili kujazia cv. Hata bank nyingine kama diamond trust na BOA kuwa bank teller hizo progs hazihitajiki.
Kwa crdb unaanza na 540,000 (hii figure siko sure nayo kivile lakini hata kama ikiwa tofauti siyo sana) ukiwa bank officer unapanda kwa lak moja kila mwaka. But pia kuna 150,000 kila tarehe 15 ya mafta ya gari na bonuses as well as ukiingia weekends pia.mshahara wa bankteller ni ngapi mkuu
Ahsante mkuu kuna mtu wangu aliniambia anapata 1,000,000 na hata miaka miwili hafiki.Kwa crdb unaanza na 540,000 (hii figure siko sure nayo kivile lakini hata kama ikiwa tofauti siyo sana) ukiwa bank officer unapanda kwa lak moja kila mwaka. But pia kuna 150,000 kila tarehe 15 ya mafta ya gari na bonuses as well as ukiingia weekends pia.
Dtb ni chini ya 500,000 as well as BOA nao
Anafanya bank gani?Ahsante mkuu kuna mtu wangu aliniambia anapata 1,000,000 na hata miaka miwili hafiki.
Bank of AfricaAnafanya bank gani?
Muongo huyo atakuwa anakuongopea maana bank officers wengi hupenda kuonekana wana earn more than what they really earn. ila BOA wanapewa housing allowance ya mwaka mzima kwa pamoja.Bank of Africa
kwahyo wewe ni mbwaRidhiki ya mbwa ipo miguuni mwake.mtanishangaa sana kutafuta kazi humu.haya maisha tu natafuta.
Usirudie tena kutaja majina ya watu utakuja kuwaletea shida kwenye sahani zao wanazo lia. KUWA MAKINI NA AJIRA ZA WENZIO.Ongea na Adam Ngeni wa crdb anaweza kukusaidia
Alafu kazi yenyewe ni bank teller!!Hivi vyuo vyetu balaa tupu eti hapa mtu kaweka tangazo la kuomba kazi!hatari sana,ina maana huyu nae ni msomi wa elimu ya juu??
Uko sahihi!Usirudie tena kutaja majina ya watu utakuja kuwaletea shida kwenye sahani zao wanazo lia. KUWA MAKINI NA AJIRA ZA WENZIO.
weka picha yako hapaaRidhiki ya mbwa ipo miguuni mwake.mtanishangaa sana kutafuta kazi humu.haya maisha tu natafuta.
weka picha yako hapaa
Mmmhhhh we nyani jike taratibu bana punguza munkariNikishaweka Picha???mfyuuu mnikome me niliyeuliza hapa mbona nyie wengine shobo mponyoko mnasoma na mnauliza kupitie Uzi wangu,me nimefunguka mwenyeqe nashangaa madume mnashoboka kuulizia details zaidi mpate ubank teller kiasi gani majobless mengi mbachungulia mpate na nyie info.pata info sepa achana na maisha yangu najua nimewasaidia wengine kupitia Uzi wangu.
Mkuu, mpaka uwe Bank Teller ni lazima uwe afsa na Bank cheo cha Bank Teller ndio cha chini kabisa ama?Muongo huyo atakuwa anakuongopea maana bank officers wengi hupenda kuonekana wana earn more than what they really earn. ila BOA wanapewa housing allowance ya mwaka mzima kwa pamoja.
Ila wana michezo yao inayo wapatia pesa zaidi. sio halali wala sio haramu.
Inawezekana ndio yeye mwenyeweUsirudie tena kutaja majina ya watu utakuja kuwaletea shida kwenye sahani zao wanazo lia. KUWA MAKINI NA AJIRA ZA WENZIO.