Aaaah wapi! Nina CPA since 2012 ila kazi siku hizi ni YOU KNOW WHO.? Ukiwa na vyeti afu una connects inakuwa rahisi, ila mivyeti humjui mtu utasaga lami na bahasha mpaka basi!
Inategemea umemaliza chuo gani, kama ni sauti, tumaini au kiu ni ngumu kidogo kupata kazi. Inabidi ufanye masters udsm kupolish cheti chako mkuu.
Ndo ukweli watu wasijibweteke waende nje kutafuta international experience!Hahahaha
Nikiwa nimeajiriwa kwenye kampuni najaza washkaji zangu tu, sio kazi zote zinaitaji usmartness!Wewe ukiwa na kampuni utaajiri ndugu zako au watu ambao wapo smart?
Hatusemi tu tuna CPA, kama mimi nimefanya MBA ssivi najifanyia zangu marketing! The thing is kampuni kubwa idara ya accounts kuna Finance manager mmoja, assistant mmoja wengine WAHASIBU FLAT TU KUNA FUTURE HAPO?Lara 1
You are right...know who matters these days..but honestly sijawai ona a Cpa plus 2-3 years experience aki hustle kutafuta kaz..May be kama unataka sehem flan flan like un,bot or us aid..wher u either have to be really competent or use the know who approach
Fatilia cv za mifinance director wa big telco na kampuni zingine uone kama kuna Kayumba uvhafu uchafu na vyuo vya kata!Uongo kuntu
lara unaonekana mjuaji Sana,exposed pia.Fatilia cv za mifinance director wa big telco na kampuni zingine uone kama kuna Kayumba uvhafu uchafu na vyuo vya kata!
Acha uboya kabebe boxi, utafute international experience hata dubai, Muscut huko ukirudi hapa CFO usipokuwa ujue umelogwa! NABII HAKUBALIKI NYUMBANI KWAO!
Majuzi MSD walikuwa wanatafuta mukulu mpya, wakampigia simu Muhaya mmoja US wakimbembeleza afanye application! Akatoa vigezo vizito mnoo ikiwemo kufanyiwa booking 5 star hotel, kulipiwa 1st class ili aje kwenye interview etc! All in all akasema HAWANA PESA YA KUMLIPA!
Jiulize watu wangapi wanaiabudu MSD na wanaomba Mungu wakonsidwe kwenye hilo jicheo? Na qualification za magamba zipo? HAWANA INTERNATIONAL EXPERIENCE WATALETA CHANGES GANI WAKATI WENYEWE KIEXPERIENCE KIMEISHIA POSTA.? WATA CONTRIBUTE NINI? ILITAKIWA MUHAYA KABYE PHARMACIA MBONGO NDANI YA US ASIEBEBA BOX, AJE ALETE CHANGES KWA EXPERIENCE YAKE YA UPHARMACIA HUKO KWA OBAMA, AJE AWAFUNDISHE WATU THE FUTURE!
kwenye maisha sio kuhusu ulichonacho bali umekitumiaje ulichonacho. Wewe utakuwa mzembe kama hujatumia CPA yako.Aaaah wapi! Nina CPA since 2012 ila kazi siku hizi ni YOU KNOW WHO.? Ukiwa na vyeti afu una connects inakuwa rahisi, ila mivyeti humjui mtu utasaga lami na bahasha mpaka basi!
hivi auditing firm ni wajinga kusomesha wafanyakazi CPA,maana firm kama big four huwa wanalipiwa kusoma kati ya ACCA au CPA,sasa kwanini wasingewalazimisha kusoma ACCA. Afu mwenye CPA ana advantage kwa mazingira ya Tanzania kwa sababau anakuwa kasoma tax.Aaaah wapi kampuni za wazungu siku hizi CPA uchafu tu, wanata ACCA, NA UWE UMESOMA UK,US,CANADA,RUSSIA HATA VHINA NA UMEFANYA KAZI MULTINATIONAL ZA NJE NDO MTAELEWANA UWE NA INTERNATIONAL EXPERIENCE SIO KAYUMBA AFU UNALETA USUMBUFU,
totoo upo vizuriiii,,gud gud
Hatusemi tu tuna CPA, kama mimi nimefanya MBA ssivi najifanyia zangu marketing! The thing is kampuni kubwa idara ya accounts kuna Finance manager mmoja, assistant mmoja wengine WAHASIBU FLAT TU KUNA FUTURE HAPO?
Ila marketing kuna sales manager, marketing manager, business development manager, pr manager, etc profession inaruhusu growth!
Nikiwa nimeajiriwa kwenye kampuni najaza washkaji zangu tu, sio kazi zote zinaitaji usmartness!
Ndo ukweli watu wasijibweteke waende nje kutafuta international experience!
Tusipangiane, mimi niliisoma for FUTURE USE, so in present nina mambo yangu binafsi. But i have like 30 CPA hawana kazi au wanafanya vibarua wanalipwa chini ya 1m! Ukitaka mtu wa CPA nistue nikupe mda wowote!kwenye maisha sio kuhusu ulichonacho bali umekitumiaje ulichonacho. Wewe utakuwa mzembe kama hujatumia CPA yako.
Uli isoma mkumbo na hukujua kwanini unaisoma
DONT TAKE IT PERSONAL! Mi nimesema MY OBSERVATION! Ukiacha finance firms, anza bank, manufacturing, telco, ngo, na sehemu za kimataifa omba cv za HEAD OF FINANCE uone mambo! Au watafute linked in! CHANGE IS INEVITABLE AND THE WORLD IS CHANGING SO IS TZ! Kukomaa humu bongo kama utumbo in the short run utasavaive ila in the longrun utachora chini!hivi auditing firm ni wajinga kusomesha wafanyakazi CPA,maana firm kama big four huwa wanalipiwa kusoma kati ya ACCA au CPA,sasa kwanini wasingewalazimisha kusoma ACCA. Afu mwenye CPA ana advantage kwa mazingira ya Tanzania kwa sababau anakuwa kasoma tax.
BAADHI YETU WATANZANIA TUNA KASUMBA YA KUKIPONDEA KITU ILI KIONEKANE HAKINA THAMANI. UKWELI USEMWE LAKINI KATIKA NJIA SAHIHI
naikubali sana marketing,inakupa opportunity kufanya vitu vipya kila siku which is really exciting for sure,navoona uhasibu pays people well but personal growth inakuwa limited aisee,mtu kweli all ur life unakuwa wa kukaa ofisini tuu,una deal na same issues tuu,Dr na Cr ndo zilizokuzunguka,kupost entries,filing VAT sijui..lazima udumae ..
Kaka unajua kazi za uhasibu kweli au just unasema!!! Vat returns sio kazi za wahasibu unaweza fanya mtu yoyote so longers apate tu correct monthly sales!
mhh jmn jina na avatar yote hyo bado waniita kaka?....