Natafuta Kazi - Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Kazi - Arusha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by viccah, May 8, 2012.

 1. viccah

  viccah Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=2]Natafuta Kazi -Arusha[/h]
  Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, naombeni msaada wenu nipo Arusha na nina tafuta kazi hata kwa mtu binafsi nitafanya si lazima serikalini.Professional yangu ni Receptionist, Secretary and Customer Care Service.
  Nitashukuru sana, Email yangu ni veronicajr00@yahoo.com. Simu: 0712804233
  Ahsanteni.

   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mambo vipi?

  We mwenye mgeni hapa A town na bado huwatafuti members wa mji?

  Nimesema ngoja nikupandishie hii maana naona kama imesahaulika.
  Na bila shaka wakuu watakutafakari!

  Jf ni mambo yote!
   
Loading...