herry john
Member
- May 19, 2015
- 16
- 14
Natafuta kaz ambayo mshahara wake utaweza kukidhi mahitaji yangu nina diploma ya land management, valuation n registration....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kazi tu yenye kipato cha kuridhisha lakini sio kukidhi mahitajiNatafuta kaz ambayo mshahara wake utaweza kukidhi mahitaji yangu nina diploma ya land management, valuation n registration....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, hata mtu ukilipwa 1.5m unajikuta tuu haitoshiTafuta kazi tu yenye kipato cha kuridhisha lakini sio kukidhi mahitaji
Jr
Nilifanya kazi mahali malipo yalikuwa laki moja kwa siku ukichanganya na usafiri na chakula na lodge ilikuwa inagonga 150 nikadhani inatosha....
Aisee, hebu mpe madini kijanaNilifanya kazi mahali malipo yalikuwa laki moja kwa siku ukichanganya na usafiri na chakula na lodge ilikuwa inagonga 150 nikadhani inatosha....
Jr
Hakuna mshahara unaotosha... Yule NHC alikuwa analipwa million 32... Nadhani kidogo ulikuwa unamtosha...
Nini kilichotokea baadae , the rest is historyHakuna mshahara unaotosha... Yule NHC alikuwa analipwa million 32... Nadhani kidogo ulikuwa unamtosha...
Jr
Kadiri unavyopata kingi ndio kadiri life style inabadilika na kuwa na mambo mengi zaidi..
Kweli kabisa,Kadiri unavyopata kingi ndio kadiri life style inabadilika na kuwa na mambo mengi zaidi..
Jr
Hakuna mshahara unaotosha... Yule NHC alikuwa analipwa million 32... Nadhani kidogo ulikuwa unamtosha...
Jr