Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

right way

Member
Jul 28, 2017
85
28
Habari waku na poleni na majukumu!

Nakuja kwa Mara nyingine kuwaomba msaanda wenu wa hali na mali natafuta kazi ya kufundisha taaluma yangu nina diploma ya ualimu ya chemistry na biology

Wakuuu nimesoma kwa shida mpaka kufanikisha kumaliza ila sikuweza kumaliza baadhi ya michango wakati nikiwa chuoni hivyo naombeni sana kazi kwa alionayo au anafahamu mahali nafasi ipo anisaidie pia mm nikijana hivyo pia naweza fanya kazi yoyote sio tuuu kaz ya kufunfundisha hivyo kama unayo kazi au unajua mahali kazi ipo nasaidie mkuuu ili niweze kukomboa vyeti vyangu baada ya kutoka mawasiliano pm Niko Tabora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huuu wakuu!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 ninaomba msaaada wenu wa dhati kwa yeyote aliye au anaye fahamu mahali palipo na uhitaji wa vijana wa kazi

Kielimu nimemaliza diploma ya ualimu masomo ya chemistry na biology si mara yangu ya kwanza kuleta uzi huu ila mwanzo sikupata mafanikio ila nawaomba msichoke kunisaidia na ninawashukuru wale wote mlio kuwa mkinishauri mambo mbalimbali asant nikijana mwenye nguvu na ninae weza fanya kazi yoyote ile ilio halali napatikana mkoa wa mbeya mawasiliano 0678694922.
 
Habar za mda huuu wakuu mm nikijana mwenye umri wa miaka 24 ninaomba msaaada wenu wa dhati kwa yeyote alie au anae fahamu mahali palipo na uhitaji wa vijana wa kaz kielimu nimemaliza diploma ya ualimu masomo ya chemistry na biology si mara yangu ya kwanza kuleta uzi huu ila mwanzo sikupata mafanikio ila nawaomba msichoke kunisaidia na ninawashukuru wale wote mlio kuwa mkinishauri mambo mbalimbali asant nikijana mwenye nguvu na ninae weza fanya kazi yoyote ile ilio halali napatikana mkoa wa mbeya mawasiliano 0678694922.
Kaongeze elimu uwe na degree...we ni diploma..kuna diploma uku kwa mtaa zinatafuta kazi kama wewe..anyway kila MTU na bahati yakee ...
 
Habar za mda huuu wakuu mm nikijana mwenye umri wa miaka 24 ninaomba msaaada wenu wa dhati kwa yeyote alie au anae fahamu mahali palipo na uhitaji wa vijana wa kaz kielimu nimemaliza diploma ya ualimu masomo ya chemistry na biology si mara yangu ya kwanza kuleta uzi huu ila mwanzo sikupata mafanikio ila nawaomba msichoke kunisaidia na ninawashukuru wale wote mlio kuwa mkinishauri mambo mbalimbali asant nikijana mwenye nguvu na ninae weza fanya kazi yoyote ile ilio halali napatikana mkoa wa mbeya mawasiliano 0678694922.
Ni kazi ya aina gani ambayo unataka kuifanya maana kazi zipo nyingi hapa mjini ila sasa inategemea unaomba kwa level gani............

1.maana kuna mwingine anaomba kazi kupitia cheti na mafunzo aliyoyapata akiwa chuo

2.kuna mwingine anaomba kazi yoyote ile ili mradi mkono uende kinywani

3.kuna mwingine anaomba kazi tofauti na kitu alichokisomea kwa
Madhumuni ya kutengeneza new
Career

Kwa mfano benk ya akiba au nyinginezo haijalishi umesomea
Kitu gani ila wanatoaga nafasi
Za loan officer na bank clerk

Na system yao unafanya kazi miezi
Sita kwa kujitolea lakini unapokea
Commission kila ukiwaletea mteja
Kujiunga na benki yao Au kukopa

Sasa kuna points wanakuwekea
Ukiweza kuvuka basi unajiriwa
Na unasomeshwa maswala
Ya benk

Na benki nyingi wanafanya hivi
Loan officer na bank Clerk zipo
Wazi tuuu
 
Mkuuu kwanza nakushukuru kwa kunitag kiukweli mkuuu namba mbili (2) na (3) ziko vizur mkuuu nimesema Mimi ni kijana nipo tayar kufanya Kaz yoyote ile halali hajalishi kile nilicho somea mkuuu kama kuna fulsa mkuu nisaidie mwenzio
 
Ni kazi ya aina gani ambayo unataka kuifanya maana kazi zipo nyingi hapa mjini ila sasa inategemea unaomba kwa level gani............

1.maana kuna mwingine anaomba kazi kupitia cheti na mafunzo aliyoyapata akiwa chuo

2.kuna mwingine anaomba kazi yoyote ile ili mradi mkono uende kinywani

3.kuna mwingine anaomba kazi tofauti na kitu alichokisomea kwa
Madhumuni ya kutengeneza new
Career

Kwa mfano benk ya akiba au nyinginezo haijalishi umesomea
Kitu gani ila wanatoaga nafasi
Za loan officer na bank clerk

Na system yao unafanya kazi miezi
Sita kwa kujitolea lakini unapokea
Commission kila ukiwaletea mteja
Kujiunga na benki yao Au kukopa

Sasa kuna points wanakuwekea
Ukiweza kuvuka basi unajiriwa
Na unasomeshwa maswala
Ya benk

Na benki nyingi wanafanya hivi
Loan officer na bank Clerk zipo
Wazi tuuu
Nashukuru sana MKUU hicho ulicho ongea hapo mwishon niukweli mtupu kwa kweli mm pia Niko radhi Fanya hivyo endapo fulsa nimeipata shida tuuu ntapata wapi ndio mtihan mkuu
 
Kila laheri mkuu japo ata mimi nimetafuta shule ya kufanyia field ya chemia na biology sioni mwamko sjui umu ndan hakuna wakui wa shule
 
hii dalili mbaya sana, si mlikuwa mnatamba kuwa masomo yenu ndo kila kitu mnawacheka wenye arts? jifunzeni kuwa life is irrelevant prior to your combs. you've studied!!

Ila utapata tu usiwaze,
 
Habari waku na poleni na majukumu!

Nakuja kwa Mara nyingine kuwaomba msaanda wenu wa hali na mali natafuta kazi ya kufundisha taaluma yangu nina diploma ya ualimu ya chemistry na biology

Wakuuu nimesoma kwa shida mpaka kufanikisha kumaliza ila sikuweza kumaliza baadhi ya michango wakati nikiwa chuoni hivyo naombeni sana kazi kwa alionayo au anafahamu mahali nafasi ipo anisaidie pia mm nikijana hivyo pia naweza fanya kazi yoyote sio tuuu kaz ya kufunfundisha hivyo kama unayo kazi au unajua mahali kazi ipo nasaidie mkuuu ili niweze kukomboa vyeti vyangu baada ya kutoka mawasiliano pm Niko Tabora

Sent using Jamii Forums mobile app
Vuta subra ,WAUNGWANA watakutafuta kwa kuwa ELIMU ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom