Natafuta Kampuni Nitakayofanyia Field Kwa Morogoro

mtunyeni

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
26
Reaction score
0
Mimi ni msichana niliyezaliwa mkoa wa Morogoro nipo Iringa Chuo nasoma Mambo ya Biasha, kwa mwenye ndugu, jamaa hata rafiki au binafsi anayemiliki kampuni yoyote ya biashara mkoa wa Morogoro anisaidie hata namba za mmliki au jina la kampuni ili niweze kuomba kufanya fild.
 
Unasoma chuo gani? ,unasoma kozi gani?
 
Back
Top Bottom