BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Unataka uinunue auSalama wana jamvi. Natufuta kampuni ndogo ya IT ( creative, software development ilioanzishwa na graduates. iwe ana wateja tayari wa uhakika na walue iwe imeweza ku breakeven ki mapato. Ni inbox kwa mazungumzo zaidi.
Asanteni sana.
Jifunze kwa Warren Buffett, kununua kampuni potential zinazopata hasara au kutaka kufaSalama wana jamvi. Natufuta kampuni ndogo ya IT ( creative, software development ilioanzishwa na graduates. iwe ana wateja tayari wa uhakika na walue iwe imeweza ku breakeven ki mapato. Ni inbox kwa mazungumzo zaidi.
Asanteni sana.
either kuinunua 100% au baadhi ya shares minimum 51% ya shareUnataka uinunue au
ni kweli lakine mtu mwengine anaeza akauza shares kwa ajili ya kutanua biashara/kampuni.....say kama kuna branch moja na unataka ongeza branch mkoani say dodoma na huna capital ya kutoshaMtu mwenye wateja wa uhakikana anayetengeneza faida sidhani kama anaweza kuuza kampuni yake
nashukuru kwa idea kaka...najaribu kukimbia risk . natafta at least company ilio break-even..Jifunze kwa Warren Buffett, kununua kampuni potential zinazopata hasara au kutaka kufa
hapana sio uvivu...ni mbinu tu ya biashara maana mimi sina uzoefu mkubwa sana wa sector hii, kwaio ni vizuri nikaendeleza kitu kilichopo na sio kuanza from scratch.huu ni uvivu wa kuanzisha chako au, mimi nilikuwa na yangu, ilikuwa inafanya vizuri sana lakini ilikuwa inahusika na service and maintanace pamoja na sales. Niliifunga wakati naondoka nchini, sikuwa na mtu wa kumuamini kumuachia biashara
Sasa kama huna uzoefu wa sector hii unaingia ya nini? Je unajua kuwa biashara sio pesa, biashara ni wazo (aidia), ukiwa na wazo kisha ukalifanyia mchakato ukaliweka kwenye uhalisia kisha ukaingiza pesa ndo inakuwa biashara tamu, lakini kama una mipesa yako kisha huna wazo la biashara yoyote ukafanya kwa mkumbo tu, mzee utachemsha mbaya.hapana sio uvivu...ni mbinu tu ya biashara maana mimi sina uzoefu mkubwa sana wa sector hii, kwaio ni vizuri nikaendeleza kitu kilichopo na sio kuanza from scratch.
Pamoja. Good luck.nashukuru kwa idea kaka...najaribu kukimbia risk . natafta at least company ilio break-even..
Asante kwa mawazo ya maana mkuu. mimi ni mtaalamu wa maswala yote ya project managament ( lakini ni Bcom graduate) na nina uzoefu wa kutosha ndani na nje ya nchi. ni kweli sina uzofu mkubwa wa iT kwa maana kwamba mfano siwezi andika CODEs kutengeneza software ila niaweza kusimamia vizuri hawa watu wanaofanya conding ili kupata software inayokubalika na mtumiaji wa mwisho. ni sehem ya miradi nimesimamia na pia nina wadau kadhaa nje ya nchi ambao wapo tayari kusupport technically. Kwaio the strategic part ya biashara hii nakwa kias naifaham, ndo maana nataka existing company niendelee nayo, kingine ni mbinu tu ya biashara kwamba hata leo naomba kazi sehem wanaitaji kampuni ilio exist kwa muda mrefu nawezanipata kirahisi zaidi kuliko kwa kua na kampuni mpya kabisa.Sasa kama huna uzoefu wa sector hii unaingia ya nini? Je unajua kuwa biashara sio pesa, biashara ni wazo (aidia), ukiwa na wazo kisha ukalifanyia mchakato ukaliweka kwenye uhalisia kisha ukaingiza pesa ndo inakuwa biashara tamu, lakini kama una mipesa yako kisha huna wazo la biashara yoyote ukafanya kwa mkumbo tu, mzee utachemsha mbaya.
Kwanza, tuanze hapa, Je wewe unaujuzi wa jambo gani ( qualification yako). Unahisi ni jambo gani unaweza zaidi kulifanya kwa kujiamini.
kwa ushauri, usitafute compay iliyo ji establish vya kutosha na yenye mafanikio mazuri, kwamaana ni ngumu mtu kaanzisha mambo yake na yameiva yananukia alafu mtu unakuja unataka uungane nae ili ufaidi mafanikio yake.Asante kwa mawazo ya maana mkuu. mimi ni mtaalamu wa maswala yote ya project managament ( lakini ni Bcom graduate) na nina uzoefu wa kutosha ndani na nje ya nchi. ni kweli sina uzofu mkubwa wa iT kwa maana kwamba mfano siwezi andika CODEs kutengeneza software ila niaweza kusimamia vizuri hawa watu wanaofanya conding ili kupata software inayokubalika na mtumiaji wa mwisho. ni sehem ya miradi nimesimamia na pia nina wadau kadhaa nje ya nchi ambao wapo tayari kusupport technically. Kwaio the strategic part ya biashara hii nakwa kias naifaham, ndo maana nataka existing company niendelee nayo, kingine ni mbinu tu ya biashara kwamba hata leo naomba kazi sehem wanaitaji kampuni ilio exist kwa muda mrefu nawezanipata kirahisi zaidi kuliko kwa kua na kampuni mpya kabisa.
Cc Mo Dewjeeither kuinunua 100% au baadhi ya shares minimum 51% ya share
Habari mkuu. Mimi ni Finance Software Consultant. Kuna mmoja wa partner wetu ana kampuni ya I.T na anahitaji mtaji zaidi. Nicheki namba hii:0713-039875Salama wana jamvi. Natufuta kampuni ndogo ya IT ( creative, software development ilioanzishwa na graduates. Iwe ana wateja tayari wa uhakika na walue iwe imeweza ku breakeven kimapato. Ni-pm kwa mazungumzo zaidi.
Asanteni sana.