Tupo wengi tu hata mimi natafuta. ningependekeza CHADEMA waweke online registration hapa wangetengeneza wananchama wengi sana kupitia mtandao, hii process ya kusaka kadi hadi kwenye ofisi physically ni ya kizamani.
Ofisi za cdm mkoa wa Arusha zipo stand kuu ya mabasi, jengo la Namvua, ghorofa ya nne. Jengo lipo kwenye kona kati ya barabara ya kuingia standi na inayoelekea mnara wa mwenge, linatazamana na stand ya mabasi ya kwenda Loliondo. Unakaribishwa.