Natafuta joining instruction ya Lugalo military medical school

Natafuta joining instruction ya Lugalo military medical school

Masaada jamani wa joining instruction au namba za simu za lugalo, web page haiko active ,namba hazimo naombeni msaada wenu
 
Naomba msaada wa yeyot mwenye kufahamu kuhusu namna joining instruction zinavyopatikana kuna yeyt aliepata joining instruction vyuo vya serkali?
 
Vyuo vyenyewe vnasubiri kutoka wizara ya afya so endelea kusubiri watakutumia kwenye profile yako
 
Back
Top Bottom