Mkuu mimi sina ya sifa hizo ila kama utahitaji ninayo yenye sifa zifuatazo
1.Genuine iPad 2
2.Manufactured in China(NB. sikila kilichotengenezwa china ni fake)
2.Imetumika miez 6 tu nje ya tz
3.WiFi+3G, 16GB
4.Color:Black
5.Price: 550 USD
kama unahitaji ni PM mkuu
Ushauri wa bure: pita web ya apple uone aina ya ipad walizonazo, angalia usiingizwe cha kike/kiume mana kuna watu wamefyatua hadi ipad 3,4 etc.