East African community wanatoaMimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, Accounting and Finance, natafuta intership kwa miezi miwili mkoa wa Arusha
Unajua maana ya internship ? Au unatafuta sehemu ya kufanyia fieldUnasoma chuo gani na jinsia yako ikiwezekana na umri wako.??
Unajua maana ya internship ? Au unatafuta sehemu ya kufanyia field
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Yeye anatafuta Intership hiyo ya kwako hajaisema.Unajua maana ya internship ? Au unatafuta sehemu ya kufanyia field
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Iko vizuri tu haina shida mkuu, we endelea kutafuta Intership ziko nyingi tu pale Sanawari.kwani hata intership mkuu si inafaa tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nenda kwa Ndigiro,baba Diana, wasiwasi watakupa internshipIko vizuri tu haina shida mkuu, we endelea kutafuta Intership ziko nyingi tu pale Sanawari.
hajielewi internship gani wakati bado yupo shuleYeye anatafuta Intership hiyo ya kwako hajaisema.
Mkuu kama bado hujamaliza chuo iyo inakua field sio internship., kachukue barua ya utambulisho kutoka chuo pamoja na matokeo yako ya mwaka wa kwanza semester zote mbili pita maofisini uombe kupata field sio ishu ngumu kivile ingawa umechelewa kodogo ilitakiwa iyo kazi uifanye kabla hamjafunga chuo ila muda bado upo.Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, Accounting and Finance, natafuta intership kwa miezi miwili mkoa wa Arusha
Mkuu hakuna mtu anaejua kila kitu hapa duniani, ni suala la kumuelekeza vizuri tuhajielewi internship gani wakati bado yupo shule
Intership ndio kitu gani aisee? Yaani unatafuta kitu usichojua hata kukiandika?kwani hata intership mkuu si inafaa tu