Habari zenu wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, ninaishi Dar es salaam.
Ninatafuta internship/ nafasi ya kujitolea katika kampuni/ kiwanda , nina degree ya environmental studies and management GPA yangu ni second upper class wakati wa field in 2014 na 2015 nilifanyia *National ENvironmental Managemental Council Dar es salaam*
Lakini bado nina uhitaji mkubwa wa kuweka yale nilosoma chuoni katika matendo( kujifunza kwa vitendo) ili niweze kwenda sawa na soko la ajira la sasa nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka pindi napoelekezwa pia kufanya kazi bila kusukumwa sukumwa
Nina ujuzi wa computer( word,excel ,power point, publisher ), ninauwezo wa kufanya data entry and analysis kwa kutumia Statistal Package of Social Science ( SPSS). Pia nina ujuzi katika kuandaa proposal ,kukusanya data, kuandika report
Ninauwezo pia wa kufanya EIA( environmental impacy assessment na EA( environmental auditing .
Zifuatazo ni baadhi ya course nilizosoma
Remote sensing
Energe resources
EIA & EA
Environmental psychology
Environmental statistics
Anthropology
Environmental economics
Environmental ecology
Pollution control technologies
Waste management including waste waters
Hydrology
Environmental disaster
Population
Environmental Geology
Mining and environment
Limnology
Reserch
Environment and development
Urbun planning and environment
Environmental chemistry
Hizi ni baadhi tu ya course chache nilizosoma.
Kwa kampuni , kiwanda au mtu binafs au anahitaji mtu wa data collection, entry and analysis au EIA/EA
Tuwasiliane kwa namba 0673216816.