Natafuta internship Mwanza

Natafuta internship Mwanza

Joined
Nov 10, 2015
Posts
40
Reaction score
10
wanajf habari za zenu, Natafuta sehemu ya kufanya internship kwa hapa mwanza kwenye private institutions/company, NGOs na mashirika kama(ppf,nssf,pspf etc.) Na kwengineko ili nipate exposure. maana kuajiriwa direct during this period it's quite difficult mpaka ujenge trust na sehemu husika. mimi ni mhitimu wa chuo mwaka huu nina degree ya Economics. Naomba kwa atakaensaidia kuni link up na sehemu hizo au utaratibu wa kupata maana hapa mwanza si mwenyeji kiivo.
Ntashukuru kwa msaada wenu.
 
Sikia, ingia kwa website ya UN kaz kibao wametangaza alafu wanahitaji watu wa mwanza mwisho ni December Ku apply (UN jobs)
 
mbona wenzio hatuna hata internship taangu 2013 tulia wewe!

Duh pole mkuu, unajua shida yangu hapa ni kwamba nahitaji muongozo kwa nyie wenye uzoefu na hiz mambo. mfano unafuata procedure zip kuapply internship. kama unataka branch je unatuma barua headqtrs au unaenda palepale branch na kama unaenda branch unamuona officer anaehusiana na hayo maswala au ni vip. Just kujua tu in general then i will proceed further.
 
Kwanin usiende hiyo sehemu utakayo then ukaomba kumwona HR au Manager wa hapo ukauliza kama wanaoffer hizo internship na kam kuna nafasi uwapelekee CV! Ni mawazo yangu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom