Natafuta internship, LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT

Habari wakuu, Mimi ni mhitimu wa mwaka 2019, Nina degree ya logistics and transport management. Natafuta internship nina uzoefu wa miezi miwili kama warehouse attendant, Nipo Dar.
0625607831
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Hudu ma ya kutafutiwa kazi/ internship/ volunteering position ni Tsh 10 000 tu. 0769 524 022
 
Aise mbona ueleweki Mara 5000, Mara 10000 ..au unaangalia na mtu wa kumpiga??
 
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Hudu ma ya kutafutiwa kazi/ internship/ volunteering position ni Tsh 10 000 tu. 0769 524 022
Hiyo pesa inalipwa kabla au baada ya kupata nafasi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom