Habari wana jukwaa
Nimejitokeza kijana wenu kuomba nafasi ya intern au kazi kwa kada niliotaja kwenye kichwa cha habari hapo juu,
Elimu yangu ni shahada ya kwanza ya uhasibu, pia nina uwezo wa kutumia microsoft Excel, Word na PowerPoint
Kwa masiliano nawakaribisha DM
Wasalam!