Natafuta huu wimbo

Natafuta huu wimbo

richie hassan

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Mwenye nyimbo aliyoshirikishwa juma nature jina nimelisahau ila nakumbuka chorus
'Tutoe adhabu gani juu ya hawa wanaoturoga*2,
Kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetani,
Mwanga anaetutupia majini ni jirani,
Naiombeni waungwana.
 
Manduli mobb kama sijakosea ndio walio uimba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom