Natafuta huu mpira wa kwenye gari

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,109
2,510
Gari langu ni Vitz

Natafuta mpira kama huu, nitashukuru nikiupata maana ya kwangu imekatika inavuja maji kwenye picha niliyo onyesha kwa karibu.

IMG20191201171021.jpeg
IMG20191201171010.jpeg
IMG20191201171021.jpeg
 
Mkuu unaishi mkoa gani?
Kama upo dar ebu nenda pale mtaa WA lindi(shaurimoyo) Kariakoo utapata pia haujataja hiyo pipe ni ya gari gani
 
Nakuchekia mkuu weka na namba basi, uko maeneo gani ? kutakuwa na charges za delivery na installation nafuu kabisa.
 
Back
Top Bottom