Natafuta huduma ya Internet connection

Natafuta huduma ya Internet connection

Ngwathra

Platinum Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
5,954
Reaction score
11,234
Heshima mbele wakuu.-

Natafuta Internet yenye bei nzuri kwa matumizi ya office. Point to point ni nzuri na nipo tyr kupokea ushauri lakini nataka unlimited.-Yeyote mwenye ushauri please naomba kwa pm au hapa.
 
Jaribu Zantel DIB, ni unlimited bandwith unapewa. Kwa bei na maelezo mazuri piga hii namba 0779162162 Kennedy
 
Mkuu waone watu wa TTCL na Broadband yao. 1. Installation charge bei ndogo 2.Equipments bei ndogo. 3. Speed iko poa sana.
 
Heshima mbele wakuu.-

Natafuta Internet yenye bei nzuri kwa matumizi ya office. Point to point ni nzuri na nipo tyr kupokea ushauri lakini nataka unlimited.-Yeyote mwenye ushauri please naomba kwa pm au hapa.

Haujasema location yako mkuu.
 
Heshima mbele wakuu.-

Natafuta Internet yenye bei nzuri kwa matumizi ya office. Point to point ni nzuri na nipo tyr kupokea ushauri lakini nataka unlimited.-Yeyote mwenye ushauri please naomba kwa pm au hapa.

Naomba msaada na mimi. Ofisi niliyokuwa nafanyia kazi zamani pale KISARAWE nao wanahitaji internet connection -unlimited. Nadhani kule hakuna TTCL broadband. What are other options?

Nawasaidia jamaa zangu tu.
 
Kaka, chek na watu wa Zantel, nimetoa contacts hapo. Unapata unlimited internet kwa users zaid ya 40 ktk ofisi yako kwa bei isiyozid dola mia tano
 
Mkuu Ahsante,

Nitacheck nao ingawa pale Kisarawe wameshindwa kufanya huduma ya Easypesa kwa kuwa hakuna mtandao wa Zantel. Hata modem yao ya internet CDMA haifanyi kazi pale. Nashukuru nitafaitilia.
 
Back
Top Bottom