W wicalumtata JF-Expert Member Joined Oct 29, 2013 Posts 329 Reaction score 113 Mar 20, 2016 #1 Motherboard ya CPU tajwa imeharibika na nahitaji kuibadili Mpya, ambaye anaweza nisaidia kwa alie Kariakoo au anajua duka wanapouza hizi motherboard anielekeze
Motherboard ya CPU tajwa imeharibika na nahitaji kuibadili Mpya, ambaye anaweza nisaidia kwa alie Kariakoo au anajua duka wanapouza hizi motherboard anielekeze