vicent tibaijuka JF-Expert Member Mar 22, 2012 268 57 Sep 18, 2012 #1 Natafuta house girl, mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari nisaidie. namba yangu ni 0717421196. naishi Dar es salaam. asante.
Natafuta house girl, mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari nisaidie. namba yangu ni 0717421196. naishi Dar es salaam. asante.
Msenyele JF-Expert Member Feb 7, 2012 338 86 Sep 19, 2012 #5 Toa details za kutosha tukusaidie. Umri gani, utamlipa shlingi ngapi, kazi za kufanya ni zipi asije akafanya kazi nje na tunamvyomtuma. Umeoa? Una familia ya watu wangapi? Unaishi Dar sehemu gani na je, akipatikana nauli utatuma?
Toa details za kutosha tukusaidie. Umri gani, utamlipa shlingi ngapi, kazi za kufanya ni zipi asije akafanya kazi nje na tunamvyomtuma. Umeoa? Una familia ya watu wangapi? Unaishi Dar sehemu gani na je, akipatikana nauli utatuma?