Natafuta house girl. (mfanya kazi wa ndani) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta house girl. (mfanya kazi wa ndani)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by vicent tibaijuka, Sep 18, 2012.

 1. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Natafuta house girl, mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari nisaidie. namba yangu ni 0717421196. naishi Dar es salaam. asante.
   
 2. M

  MTORI Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeowaa? au unataka dogodo.
   
 3. M

  MTORI Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeowaa? au unataka dogodogo.
   
 4. M

  Mnyella Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  House man hutaki?
   
 5. Msenyele

  Msenyele JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Toa details za kutosha tukusaidie. Umri gani, utamlipa shlingi ngapi, kazi za kufanya ni zipi asije akafanya kazi nje na tunamvyomtuma. Umeoa? Una familia ya watu wangapi? Unaishi Dar sehemu gani na je, akipatikana nauli utatuma?
   
Loading...