Mgombezi JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 610 Reaction score 186 May 27, 2009 #1 Wana JF, natafuta hotuba ya Mheshimiwa Magufuli inayohusisha takwimu za ullaji nyama na kunywa maziwa hapa Tanzania. Nakumbuka ilihusisha na idadi ya mifugo Tanzania wakiwemo ng'ombe na kuku. Naomba hizo statistics.
Wana JF, natafuta hotuba ya Mheshimiwa Magufuli inayohusisha takwimu za ullaji nyama na kunywa maziwa hapa Tanzania. Nakumbuka ilihusisha na idadi ya mifugo Tanzania wakiwemo ng'ombe na kuku. Naomba hizo statistics.