natafuta hotel nzuri mbeya

dtf

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
121
Reaction score
12
habar wakuu.nipo mbeya natafuta hotel nzur na yenye hadhi huku mbeya.pia ningependa kujua mahal wanapochoma nyama nzuri ya mbuzi.samahan kwa kuwasumbua wanajf
 
hotel nenda JM hotel au HILL VIEW mkuu.
Nyama nzuri nenda uswahilini
 
na mbeya kulivyo na mvua....ukitaka kampani nistue...nitakuja na bumunda langu kabisa na ulazi.....
 
Nyama mbeya carnivo night ckyb,city pub na Sokomatola
 
Ulizia wenyeji watakuambiaaa
 
Kwa nyama nenda carnivo ndo kila kitu
habar wakuu.nipo mbeya natafuta hotel nzur na yenye hadhi huku mbeya.pia ningependa kujua mahal wanapochoma nyama nzuri ya mbuzi.samahan kwa kuwasumbua wanajf
 
1.hill view hotel iliyopo uzunguni
2.mount living stone karibu na shule ya riverside
 
Manyanya ipo forest mpya, peace of mind ipo near riverside English medium school....
 
Uzunguni kuna hotel mzuri..mfano Hill View kama walivyotangulia kutaja hapo juu.
 
je beaco hotel c pazur?ndio nimefikia hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…