Deva
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 1,238
- 1,819
Habari za muda huu wakuu.
Wiki mbili mbele kutoka sasa nitakuwa free likizo kwa muda wa mwezi mmoja, kuliko kukaa bure nyumbani, nimeona nitafute mahali pa kujitolea huku nikiongeza ujuzi kwenye kada yangu.
Hivyo basi kama una ndugu, rafiki, anayeweza kunisaidia nafasi ya kujitolea kwenye hospital, nipo tayari
Nimemaliza Miaka miwili ya nursing certificate NTA Level 4&5, nina ufahamu kwenye General nursing na Midwifery pia.
Ninaweza kufanya kazi
Male ward
Female ward
Children ward
ICU
Labor
Maternity
RCH
Mwanza maeneo ya mjini itakuwa rahisi zaidi maana ninajitolea, nitakuja kwa gharama yangu nikiwa natokea nyumbani, mwenye uhitaji tafadhali naomba aniPm.
Asanteni.