Natafuta hizi sarafu wakuu

Natafuta hizi sarafu wakuu

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
Habari wadau natafuta coin zifuatazo.
senti 5 ya nyerere 1970..senti kumi ya nyerere 1980 no.0687532647
 
Mi ninazo sent5 na kumi ila sijajua ni za mwaka gani ngoja nikifika kiotani kwangu.
 
Habari wadau natafuta coin zifuatazo.
senti 5 ya nyerere 1970..senti kumi ya nyerere 1980 no.0687532647

Acha ujinga utazeeka unatafuta hizo hela. Bado utafute na rupia ya bawa la ndege au Simba mtini. Ukitoka hapo utatafuta shng kumi ya noti then rupia nyeupe ya 1910 na 1914.

Tafuta kazi ya maana.
 
sexologist stick to the topic aint interested in stupid argument period
 
Last edited by a moderator:
Coin hizo
 

Attachments

  • 1437420631257.jpg
    1437420631257.jpg
    42.8 KB · Views: 419
Habari wadau natafuta coin zifuatazo.
senti 5 ya nyerere 1970..senti kumi ya nyerere 1980 no.0687532647

Mkuu mi naweza kukusaidia kuzipata, mara ya mwisho nilivokuwa kijijini kwa marehemu bibi...babu alinionesha fedha nyingi za zamani(kabla na baada ya uhuru) ambazo bibi alikuwa anazitunza. Ngoja nikaangalie kwenye albamu zangu za picha...nikiziona ntakutumia picha mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom