Natafuta hizi mashine maarufu kama compressor digger

Mpya original bei inaendaje kwa dar, nilitaka kununua mwaka juzi tatizo zote zilikuwa feki. Huwa naiamini sana atlas kwa ubora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpya original bei inaendaje kwa dar, nilitaka kununua mwaka juzi tatizo zote zilikuwa feki. Huwa naiamini sana atlas kwa ubora

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpya znafika karibia $45000
Na zaidi
Kuna mwamba mmja yuko UK anazileta hzi mashine pc nyingi uzuri zikifika unapigiwa na service alafu na wao wanaleta pia parts
Za mashine
Hawana longolongo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…