Kwa hio jamaa kakuua kabisa,,,,dah mama umejidharaulisha sana nilikuwa nakuheshimu sana ila kwa sasa huna tofauti na nanihii wa kina bar au wale wa pale kahumba night park hukoo moro. Dah.
Kwa yeyote yule anayefahamu sehemu nitakapovipata........tafadhali anijulishe.........
Ni viatu ambavyo ni vyepesi........na havichoshi........
asanteni sana.............
Ukienda kwenye milango ya kumbi za mziki (night clubs) utavikuta; pia ukienda kwenye gym utavikuta. Halafu hii inaonesha unavihitaji kwa kipindi hiki cha ov.ul.ation kama vile gumboot/ wellington inavyohitajika kwenye tope wakati wa mvua.
Kwa yeyote yule anayefahamu sehemu nitakapovipata........tafadhali anijulishe.........
Ni viatu ambavyo ni vyepesi........na havichoshi........
asanteni sana.............