Hivyo vitabu sio rahisi kuvipata hivi hivi bila kuvinunua kwahiyo usikute yeye mwenyewe amevinunua na ni mfanyabiashara anaonekana kwahiyo ndiyo maana yeye mwenyewe anauza ili kupata faidaMzee huu uzi ni wa kusaidiana sio biashara, unayumba sana. Ni kweli nakitafuta hiko kitabu lakini eti nitoe 5k round hii never ever!.
Anyway utawapata watakaokuja. Sisi wengine tumesomea uchumi ule wa ndani kabisa
Naam kwa context ya uzi amekoseaNdio maana nikasema huu uzi ni wa kusaidiana. Mtu anacho anatuma kama kuwa bless watu. Tunajua kama vinauzwa, asijali wa kununua atawapata
Sawa Gervas.Mzee huu uzi ni wa kusaidiana sio biashara, unayumba sana. Ni kweli nakitafuta hiko kitabu lakini eti nitoe 5k round hii never ever!.
Anyway utawapata watakaokuja. Sisi wengine tumesomea uchumi ule wa ndani kabisa
Hii umeiweka vizuri sana ingawa bongolala ataelewa kwa kuchelewa.Hivyo vitabu sio rahisi kuvipata hivi hivi bila kuvinunua kwahiyo usikute yeye mwenyewe amevinunua na ni mfanyabiashara anaonekana kwahiyo ndiyo maana yeye mwenyewe anauza ili kupata faida
Mzee nishapata ufumbuzi kupitia app ya "PDF DRIVE" tayari nimekipata. Nikitaka kitabu chochote sasa na download tu.
Utawapata bongo lala wenzako huko kwenu wasiojua kushughulisha bongo zao kwa vitu vidogo kama hivi.
We jamaa una force kupata hela kwa nguvu sana, jana ukanifata inbox WhatsApp unalazimisha nitoe 5k.
Kule Amazon kinaitwa The Mind VIRTUOSO by Aven saltern .Hi..
Kindly naomba mwenye soft copy ya hiki kitabu anisaidie kwa kunitumia pm tafadhali
THE MIND VIRTUOSO by Aven soltera
Bado naendelea kutafutaOriginal ni kipi
Hicho kitabu ni mwaka huu?Hi..
Kindly naomba mwenye soft copy ya hiki kitabu anisaidie kwa kunitumia pm tafadhali
THE MIND VIRTUOSO by Aven soltera
SawaUkipata nigawie
Karibu sana.Nimeingiaga tayari.
Kajinga haka, tutakachapa.Haikuwa na haja ya kufatana inbox! Ilitosha tu kule kule kwenye group lako, ila ukaona kama sijaona sijui ukaamua unifate kabisa inbox kwa msisitizo!. Nikaona hapa kuna namna ndo maana nikakujibu subiri "niitafute hiyo hela"
Nikaona kama tunafatana mpaka inbox hivi basi hapa si salama. Nikaamua ni left kimya kimya
Hebu jiamini na biashara yako mzee! Mambo ya kufatana inbox bila ridhaa unaua band