Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,054
- 4,115
mwenye kujua inakopatikana au yeye ni mtumiaji anijulishe tushirikiane wote huku nilipo naiona fursa hii ya biashara tunawez fanya biashara hiyo nasikia ni nzuri ni pm
Yaani ulimwengu huu kila kitu kimekuwa cha Ku boost! simu kina dada matiti na makalio kazi kweli kweli.
Wewe ni PM mimi nitakupa njia nzuri ya kutengeneza pesa,ila uwe na moyo tu baasi.mwenye kujua inakopatikana au yeye ni mtumiaji anijulishe tushirikiane wote huku nilipo naiona fursa hii ya biashara tunawez fanya biashara hiyo nasikia ni nzuri ni pm
Hiyo ni Dawa ya nini tena yailahi mbona sielewi?
mkuu vumbi ni noma kakaa nina kastock kangu daa mkuu hii inaleta heshima asikuambie mtu kakaamwenye kujua inakopatikana au yeye ni mtumiaji anijulishe tushirikiane wote huku nilipo naiona fursa hii ya biashara tunawez fanya biashara hiyo nasikia ni nzuri ni pm
Mtakufa kwa kutaka kufanya mnayoona kwenye movies za porn.naangalia porn hapa chanel moja jamaa yuko na madem wanne na wote anawatendea haki ,vp wabongo mmoja tu hatuwezi kumchosha
hv ni kweli mkuu una uzoefu na hii dawa nisije nikawapa watu madhar ngoja tusubir watakuja kama kuna mtu alishapata madhara na hii dawaWe katumie hiyo dawa halafu after few months or years to come hutaweza kusimamisha kabisa
Ndio hapo utakaposaidiwa Mkeo hadi uombe poo.
Hii dawa ilianza kutumiwa siku nyiingi na wazee wanaoendesha magari ya mizigo kutoka Tz mpaka Congo. Itakuwezesha kwa mwanzo kwani inafanya mishipa isimame sanaa na mb'oo kusimama mpaka kuuma.hv ni kweli mkuu una uzoefu na hii dawa nisije nikawapa watu madhar ngoja tusubir watakuja kama kuna mtu alishapata madhara na hii dawa