Natafuta high gloss MDF boards

shaman

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
94
Reaction score
182
habari wana bodi..nauliza kwa mtu yoyote mwenye ufahamu mahali Dar ambapo naweza pata hizo boards na bei yake ipoje according kwa dimensions wanazouza
i.e hizi na board za mdf zenye finishing kama za kioo vile mara nyingi utumika kutengeneza top za meza, makabati ya jikon o chumbani

 

Pia mafundi wana uwezo wa kuibadili MDF ya kawaida kuwa High Glossy kwa kupiga rangi ya spray (Rangi ya gari). Pia hii ni nzuri kwa sababu haitakuwa na michubuko baada ya kukata na kugongagonga kwa sababu rangi inapigwa mwishoni
 
thnx mkuu umenipa idea nyngine nzuri
Pia mafundi wana uwezo wa kuibadili MDF ya kawaida kuwa High Glossy kwa kupiga rangi ya spray (Rangi ya gari). Pia hii ni nzuri kwa sababu haitakuwa na michubuko baada ya kukata na kugongagonga kwa sababu rangi inapigwa mwishoni[/QUOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…