Natafuta hela?

Miaka 30 na uvulana sicheki na maisha
 
Mapenzi kwangu hayana maana na sitaki kuumizwa bora tu nipende hela natunza uvulana wangu
Gentleman,
ukiona uvulana unakusumbua sana, suluhisho la pekee la kudumu ni kufunga ndoa na mwanamke, na Mungu Mwenyezi wa Milele atabariki ndoa uzao wako, atabariki kazi za mikono yako, atabariki kazi za kimwili na roho yako, na atakujaza Neema na Baraka zake ele katika shughuli zako za utafutaji pesa na uzalishaji mali na watoto πŸ’
 
Usipoteze muda Tafuta anaekupenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…