K kimwelage Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55 Reaction score 21 May 8, 2018 #1 Natafuta gynacologist nina tatizo la kupata ujauzito
Technologiest JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,055 May 8, 2018 #2 kimwelage said: Natafuta gynacologist nina tatizo la kupata ujauzito Click to expand... Daah! Pole sana,tuwasiliane nikusaidie
kimwelage said: Natafuta gynacologist nina tatizo la kupata ujauzito Click to expand... Daah! Pole sana,tuwasiliane nikusaidie
Nima Imma JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 2,473 Reaction score 3,697 May 8, 2018 #3 Hili ji janga la wanawae wngi,, kwa ushauri tu uwe na bima na kama huna bima basi andaa 1.5 million,, nenda kairuk kuna magyno wengi na wazuri sana ,,, dawa na vipimo ni ghrama sana .. Kila la kheri
Hili ji janga la wanawae wngi,, kwa ushauri tu uwe na bima na kama huna bima basi andaa 1.5 million,, nenda kairuk kuna magyno wengi na wazuri sana ,,, dawa na vipimo ni ghrama sana .. Kila la kheri
accused JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,496 Reaction score 2,750 May 9, 2018 #4 come after me....trust me June unakua mjamzito!!
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,286 May 10, 2018 #5 Pole mwanamke mwenzangu nenda kwa kilonzo Mwanza ni mzuri sana,ila andaa pesa maana pale wapo juu wangu Mungu atabariki tumbo lako.
Pole mwanamke mwenzangu nenda kwa kilonzo Mwanza ni mzuri sana,ila andaa pesa maana pale wapo juu wangu Mungu atabariki tumbo lako.
Ambilikisye anna JF-Expert Member Joined Oct 2, 2017 Posts 561 Reaction score 501 May 10, 2018 #6 accused said: come after me....trust me June unakua mjamzito!! Click to expand... Heee..akija unipe mrejesho na mie nikutafute ...hahahhahah
accused said: come after me....trust me June unakua mjamzito!! Click to expand... Heee..akija unipe mrejesho na mie nikutafute ...hahahhahah
Ambilikisye anna JF-Expert Member Joined Oct 2, 2017 Posts 561 Reaction score 501 May 10, 2018 #7 amu said: Pole mwanamke mwenzangu nenda kwa kilonzo Mwanza ni mzuri sana,ila andaa pesa maana pale wapo juu wangu Mungu atabariki tumbo lako. Click to expand... Cha ajabu huyo kilonzo yeye hana hata mtoto but they are happy ....acheni mungu aitwe mungu na wanawasaidia watu wanapata watoto duhh!
amu said: Pole mwanamke mwenzangu nenda kwa kilonzo Mwanza ni mzuri sana,ila andaa pesa maana pale wapo juu wangu Mungu atabariki tumbo lako. Click to expand... Cha ajabu huyo kilonzo yeye hana hata mtoto but they are happy ....acheni mungu aitwe mungu na wanawasaidia watu wanapata watoto duhh!
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,527 Reaction score 3,344 May 11, 2018 #8 Uko wapi
Nima Imma JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 2,473 Reaction score 3,697 May 12, 2018 #9 Ambilikisye anna said: Cha ajabu huyo kilonzo yeye hana hata mtoto but they are happy ....acheni mungu aitwe mungu na wanawasaidia watu wanapata watoto duhh! Click to expand... Duh,,
Ambilikisye anna said: Cha ajabu huyo kilonzo yeye hana hata mtoto but they are happy ....acheni mungu aitwe mungu na wanawasaidia watu wanapata watoto duhh! Click to expand... Duh,,