Natafuta GPS Track kuweka kwenye gari

Natafuta GPS Track kuweka kwenye gari

tononeka

Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
97
Reaction score
10
Hivi kuna kifaa chochote ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker?
Mwenye kujua naomba maelekezo
 
zipo accessory za simu nyingi kaka zenye gps unaificha ndani ya seat au kokote pazuri.

emprum kwa ajili ya ipod, iphone na ipad pia inakubali kwa laptop

ipo hii nyengine inafanya kazi kwenye android na ios inaitwa
Dual XGPS150 A

just google gps accessories
 
vipo vingi ebay
me ninatumia TK102B nilinunua kwa usd 50 ad nakipata mikononi, na kinafanya kazi ile niliyoitegemea
kuna jamaa aliwahi kutangaza zoomtanzania lakini ni aina tofauti na ninayotumia. na Alikua Anauza kwa usd 300. hebu tembelea pande izo
 
Kama unahitaji trcking device tuwasiliane zipo kwa bei rahisi sana tsh 250,000 tu. Tupigie 0717057552 au 0764818022
.
 
Kuna kampun inaitwa car track
Wanatoa huduma hio.
Hao watakauwa na vifaa vizur .
 
Back
Top Bottom