southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 827
- 1,018
Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar.
Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi.Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar.
Bila shaka umesahau kumwambia kuwa atapata package ya 2 in 1.Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi.
Mcheki huyu mwamba yupo floor ya kwanza. 0672115828
Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi.
Mcheki huyu mwamba yupo floor ya kwanza. 0672115828
Hayo sijui mkuu kwa bajeti yake hana namna.Bila shaka umesahau kumwambia kuwa atapata package ya 2 in 1.
Simu
Pasi.
Amcheki huyo jamaa atapata kila kitu ana ofisi imekamilika kila idara sio winga.Uwe makini tu, kuwe na ofice na uchukue receipt, usije uwawa kimasihara baadae kwa kuitwa mwizi wa simu
Mi nahitaji Google pixel 8 ila ninunuliwe na mtu humuhumu☺Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar.
Amcheki huyo jamaa atapata kila kitu ana ofisi imekamilika kila idara sio winga.