Natafuta girlfriend

Natafuta girlfriend

Una 21 age? Afu unatafuta mpenz JF? Huku kuna wazee iyo age yako labla FB
 
MKOPO WA HESLB UMESHATOKA NIKUELEKEZE MAHALI PA KUWAPATA??:A S embarassed:
 
Soma kijana wasichana haweshi,utapoteza kitu muhimu sana kwa starehe ya dakika 10....
 
Achana na viroba, tamaa zitakuponza, huwe kujahapa nakusema natafuta girl friend kwenye mitandao? Kwani hapo unapoishi hakuna wasichana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom